10 November 2012

Mikel Arteta ASHINDWA KUFANYA ALICHOFANYA MIAKA MITATU ILIYOPITA

Mikel Arteta amekosa penati ya dakika za mwsiho wakati arsenal ikitoka sare dhidi ya Fulham kwa bao tatu tatu .
 Olivier Giroud's na Lukas Podolski's walionekana kuipa arsenal Ushindi wa mapema lakini Dimitar Berbatov aliirejesha  Fulham mechezoni , kabla ya  Alex Kacaniklic's kufunga goli la kusawazisha dakika ya 40th .
 Berbatov's alifunga penati na kufanya wageni kuongoza kwa mabao mawili  3-2 lakini Giroud alisawazisha kwa kichwa , kabla ya Mark Schwarzer  kuokoa penati ya  Arteta's .
 Mwamuzi  Phil Dowd alipuliza filimbi baada ya golikipa wa  Australian ' kuokoa mchomo huo na kumaliza mpira kwa kushuhudia magoli sita katika mchezo.

Arsenal3 - 3Fulham
Everton2 - 1Sunderland
Reading0 - 0Norwich
Southampton1 - 1Swansea
Stoke1 - 0QPR
Wigan1 - 2West Brom

No comments:

Post a Comment