8 November 2012

Roger Federer AMSHINDA David Ferrer

Roger Federer amekuwa mchezaji wa kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano  ATP Baada ya  kumshinda David Ferrer.

 Bingwa huyo mara sita amejiakikishia kutokuwa na wasiwasi baada ya kupata ushindi wa  6-4 7-6 (7-5)
Federer alipata ushindi mzuri kwa na sasa atapambana  Juan Martin del Potro katika mechi yake mwisho ya Kundi   B siku ya jumamosi .

No comments:

Post a Comment