2 November 2012

SHINDANO LA WANYANGE WA REDDS TANZANIA


Hili moja kati ya jukwa litalo tumika hapo kesho katika kumtafuta mnyange wa Redds tanzania .


Meneja wa kinywaji cha redds Original victoria kimalo  akisikiliza jambo kutoka kwa afisa habari wa Miss Tnzania Hildan Rico 


Ni matangazo ya moja kwa moja katika runinga ambapo star media itarusha shindano la kumtafuta mnyange wa Redds .

No comments:

Post a Comment