10 November 2012

Teklehaimanot ATWAA UBINGWA WA MBIO ZA BASKELI AFRIKA

Kijana kutoka Eritrea’s Daniel Teklehaimanot amenyakua ushindi wa mbio zabaskeli kwa uapande wa wanaume ,katika michuano hiyo iliyochukua siku tatu , katika michuano ya ubingwa wa afrika inayofanyika huko  Ouagadou, Burkina Faso.

 Alimaliza  km 31.ndani ya dakika  38 : na sekunde 11 : 52 Akimshinda mpinzania wake  Tsgabu Grmay na raia wa  South Africa’s Jay Thomson. 

No comments:

Post a Comment