1 November 2012

WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA KLABU BINGWA DUNIA HADHARANI


Shirikisho la soka la dunia FIFA limetangaza waamuzi watakao chezesha michuano ya klabu bingwa dunia ambao safari hii watakuwa wa tatu ambayo kwa mara ya nne sasa inafanyika nchni japan  FIFA  2012.

Waamuzi kutoka  Bahrain, Algeria, Mexico, Ecuador, New Zealand na  Turkey nao watakuwa moja kati ya  watakao chezesha michauno hiyo huku wakiongozwa na , Djamel Haimoud  ambaye ndiye mwamuzi mkongwe kwa sasa anamiaka  41, na  Cuneyt Cakir ambaye ni mdogo zaidi  35.

Mashindano hayo ya klabu bingwa ya dunia ya  FIFA yatachezwa kuanzia tar  6-16 December huko Yokohama ma  Toyota. 


No comments:

Post a Comment