11 November 2012

YANGA WAMALIZA KWA BARAKA MZUNGUKO WA KWANZA

Timu ya soka ya Yanga imeendeleza moto wa ushindi hii leo katika uwanja wa mkwakwani dhidi ya Coastal Union ya Tanga, 
Yanga imeshinda  mabao 2-0  magoli ya yanga yamefungwa  na Didier Kavumbagu dk 27 na Hamisi Kiize dk 63  Diego kwa shuti kali na   kutimiza  alama 29  huku Azama fc wakiwa yao kwa alama24.
Na kuhitisha mzunguko wa kwanza wa ligi ya Voadacom .

No comments:

Post a Comment