21 December 2012

K-SPORT TUNAOMBA RADHI

K-SPORT.COM  inaomba radhi kwa taarifa ambazo sio sahihi tulizo chapisha kuwa lulu kapata dhamana tunaendelea kutafuta chanzo sahihi lakini kwa sasa tunaomba kuwa taarifa tuliyo chapisha haikuwa sahihi samahani kwa usumbufu .

No comments:

Post a Comment