15 December 2012

NEWCASTLE UNITED 1-3MANCHESTER CITY

Manchester City players celebrate Javi Garcia's goal at Newcastle

Newcastle 1 Ba 51′ .Man City 3 Aguero 10′ Garcia 39′ Y Toure 78′ .
Manchester City imerejea katika fomu yake ya ushindi baada ya kufungwa mechi  iliyopita mabao matatu kwa mawili dhidi united Leo  ya imeifunga  Newcastle united mabao matatu kwa moja katika uwanja wa  United at St James' Park katika mwendelezo wa ligi ya uingereza .
Sergio Aguero alifunga kitabu cha magoli akimalizia mpira uliotengenezwa Samir Nasri .

Javi Garcia alifunga bao la pili baada ya kuunganisha kona  ya   David Silva' lakini   Demba Ba's alifunga kwa kichwa goli lililowapa matumaini Magpies .

 Yaya Toure's aliachia shuti kali kutoka umbali wa mita saba baada ya kupokea pasi kutoka kwa  Pablo Zabaleta's na kufunga bao la tatu .





No comments:

Post a Comment