27 January 2013

Cape Verde, South Africa NDANI Maroc Angola NJE .

Djalma of Angola (L) and Gege of Cape Verde

Timu inayo shiriki kwa mara ya kwanza  Cape Verde imefuzu katika hatua ya  robo fainali ya mataifa ya afrika kwa kuifunga Angola 2-1  Port Elizabeth.

  Vijana kutoka Angolans walikuwa wa kwanza kupata  goli katika daika ya  33  baada ya mlinzi wa Cape Verde Neves kujifunga Mwenyewe.
 
lakini walisawazisha dakika tisa kabla ya mchezo kwisha kupitia kwa mlinzi Fernando Varela akifunga kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi,kijana  Heldon alifunga goli la pili akitokea kwenye benchi katika dakika ya tisini ya mchezo na kuifanya timu yake kushika nafassi ya pili nyuma ya afrika kusini.


 South Africa celebrate one of their goals against Morocco

Wenyeji Afrika kusini wamemaliza wa kwanza Kundi A baada ya kutoka suluhu na Maroc ya mabao mawili kwa mawili katika mchezo ulichezwa huko Durban na kuwa sukuma waarabu wa kaskazini nje ya michuano hiyo .

Huku wakijua ushindi utawapereka hatua inayofuata Maroc waliiongoza mara mbili baada ya cape vede kushinda mechi ya dhidi ya angola .

Magoli ya afrika kusini yalifungwa na May Mahlangu Siyabonga Sangweni wakati ya Maroc yalifungwa na 
  Issam El Adoua na Mehdi Namli

No comments:

Post a Comment