27 January 2013

DAKIKA 13 ZILITOKA WAPI ?

StarAfrica 

Algeria na Togo zilijikuta zikikisimama bila kucheza kwa dakika kadhaa pale mlingoti ulipo Dondoka katika mechi ya kundi D lakini wakati goli ilipokuwa lilipodondoka zilikuwa zimebaki dakika tano Mpira kumaliza katika dimba la  Rostenburg Mwamuzi wa mchezo aliamua kuhakikisha anasimamia mpaka pale goli lilipokuwa lilipokuwa  sawa .

na aliwaita baadhi ya maafisa kutengeneza goli na mpira kuanza tena lakini cha kushangaza mwamuzi aliongeza dakika kumi zaidi kufidia mchezo huo il hali kabla ya goli kuapata matatizo zilibaki dakiaka tano mpira kumaliziaka  . 
Lakini ni Togo ndio iliyofanikiwa kupata ushindi kwani walipata mabao mawili kwa moja  2-0dhidi Algeria  
sasa watapambana na Tunisia  katika mechi yao ya mwisho kundi D siku ya jumamatano 

No comments:

Post a Comment