24 January 2013

Ghana 1 Wakaso 38′ (pen) Mali 0

Mubarak Wakaso converts the penalty that won the game for Ghana.


Ghana Imejiongezea nafasi ya kufuzu hatua inayofuata katika michuano ya mataifa ya afrika baada ya kuifunga  Mali 1-0 katika mechi ya kombe la mataifa ya afrika kundi   B katika uwanja wa  Port Elizabeth.

Mubarak Wakaso alifunga kwa pernaty katika dakika ya  38 baada ya  Emmanuel Agyemang-Badu kufanyiwa madhambi ya katika Kisanduku .

Seydou Keita alipia mpira wa adhabu ndogo juu ya goli ya baada Mlinda wa mlango  Ghana Fatau Dauda kushindwa kukaa sawa sawa langoni mwake .

No comments:

Post a Comment