26 January 2013

KARIBU CITY KWA HERI CITY

Michael Kightley and Carlos Tevez

Pablo Zabaleta amefunga goli katika dakika za majeruhi na kuipatia City goli linaloipereka mzunguko wa tano wa kombe la FA 

 Mchezaji alieingia kipindi cha pili Cameron Jerome angeweza kuipereka timu yake katika mechi ya marejeano lakini ushindi ulienda kwa Man city ambao tarehe kama ya leo timu zote zilikuwa zikicheza ligi daraja pili  ambapo city ilishinda kwa mara ya mwisho mwaka  1999 huu unakuwa ushindi wa sita mfululizo tangu walipo fungwa na  Sunderland siku ya  Boxing Day.

No comments:

Post a Comment