10 January 2013

MABONDIA DEO NJIKU NA OMARY RAMADHANI KUGOMBANIA UBINGWA WA TAIFA February 14

Mabondia Omary Ramadhani kushoto na Deo Njiku wakitunishiana misuri baada ya kusaini mkataba kupigania ubingwa wa Tanzania PST siku ya February 14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese



No comments:

Post a Comment