10 January 2013

MICHU HATARI SANA !!! NDANI YA STANFORD BRIDGE



Makosa mawili yaliyofanywa na ngome ya Chelsea yameisaidia  Swansea ambayo imepata  ushindi wa mabao mawili Dhidi ya  Chelsea  na kuingiza mguu mmoja katika hatua ya nusu fainali ya pili itakayo wiki ijayo na itakuwa na faida ya goli mbili mkononi .

 Chelsea ilitawala nusu ya kwanza lakini kosa lililofanywa na  Branislav Ivanovic lilimpa nafasi   Michu kuifungia timu yake bao la uongozi .
 Gerhard Tremmel alikosa goli baada ya  kukokolewa  vibaya kwa mpira na   David Luiz's na baadae  Demba Ba aliunganisha klosi lakiini mpira ulikwenda mbali na lango .

  Danny Graham alifunga bao la pili mara baada ya  Ivanovic kurudisha mpira vibaya na kufunga bao la ushindi .
Goal - Danny Graham - Chelsea 0 - 2 Swansea
Danny Graham fires in a goal from inside the penalty area low into the middle of the goal. Chelsea 0-2 Swansea
.

Goal - Miguel Michu - Chelsea 0 - 1 Swansea
Miguel Michu finds the back of the net with a goal from the edge of the penalty box to the top left corner of the goal. Chelsea 0-1 Swansea.

No comments:

Post a Comment