30 January 2013

Shanghai Shenhua YAGOMA KUMUACHIA Didier Drogba


Didier Drogba 

 Shanghai Shenhua  Imesema  Didier Drogba atabakia kuwa mchezaji wao licha ya kujiunga na klabu ya Uturuki ya  Galatasaray  baada ya kukamilisha makubaliano Binafsi .

Mchezaji huyo wa zamani wa chelsea ametia kandarasi ya miezi kumi na nane siku ya jumatatu 

Klabu hiyo imesema itashitaki fifa kwani uhamisho huo umevunja taratibu na bado ana mwaka mmoja wa kuchezea klabu hiyo ambao alisaini mwaka jana mwaka 2012 na bado ni mchezaji wao .
"

No comments:

Post a Comment