29 January 2013

ZAMBIA :ZIKOMO KWA MBILI

Burkina Faso's Bakary Kone (left) fight for the ball with Zambia's forward Emmanuel Mayuka 

Mabingwa watetezi wa kombe la mataifa ya  Zambia wamesukumwa nje ya michuano hiyo baada ya kwenda suluhu ya kutokufunga na Burkinafaso ambao wao  wamefuzu hatua inayofuata ya michunao hiyo .

Chipolopolo waliingia kiwanjani wakiwa na alama sawa na  Nigeria,ambao wamefuzu hatua ya robo fainali baada ya kuisnda Ethiopia mabao mawili katika kundi c    
.
Victor Moses 

 
Ethiopia 0
Nigeria2 Moses 79′ (pen), 90′ (pen)

No comments:

Post a Comment