HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 February 2013

AAT IPO TAYARI KWA MBIO ZA MAGARI DSM

http://photos.geni.com/p8/1349/9675/5344483748c22721/Pic_new_010_medium.jpg
Yusuph Ghor
Chama cha mchezo wa mbio za magari Tanzania, AAT  kimetangaza jumla ya magari nane yatakayo shiriki katika mbio za magari ambayo yanajumuisha vilabu sita vya hapa nchini .

Ufunguzi wa mashindano hayo utafanyika Dar es salaam ambayo yatakuwa mashindano ya siku mbili yakianza Feb  23.
Mashindano hayo maarufu kama  DMSC ambapo kwa miaka mingi yamekuwa yakikamata hisia za watu ambapo baada ya kumaliza ya mwezi feb mashindano mengine yatafanyika mwezi   September Tarehe  14.

Klabu ya Kilimanjaro Motor Sports ni  moja kati ya klabu zitazokashiriki michuano hiyo ya   AAT kwa mujibu wa Kalenda ambapo mashindano yao yatafanyika kwa siku mbili pia  ambapo yenyewe yataanza mwezi march  30th.

Tanga Motor Club nayo inatarajiwa kushiriki mashindano hayo 
.
Mkuu wa chama hicho Yusuph Ghor amesema kuwa anawatakiwa Madereva wote  mashindano mema ya  AAT .


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers