23 February 2013

AL AHLY YATWAA UBINGWA KWA MARA YA TANO




Miamba ya misri   Al Ahly imeifunga   AC Leopards ya  Congo 2-1 na kushinda kikombe cha tano cha  Super Cup katika uwanja wa  Bog El Arab katika jiji la  Alexndria.
magoli yalifungwa na  Ramy Moustafa  na  Mohamed Barakat yalitosha kuipa ushindi timu hiyo  dhidi ya wakongoman ambao walipata goli moja  . 
 
 

 

 

No comments:

Post a Comment