17 February 2013

CHELSEA VS MANCHESTER UNITED

Chelsea win FA Cup

Manchester United itakutana na chelsea  katika kombe la FA hatua ya Robo fainali kama timu hizo zitashinda mechi za sasa za mzunguko wa tano  

Chelsea itatakiwa kuindoa  Middlesbrough Tarehe  27 February ambapo mshindi wa mechi atakutana na  United au  Reading, ambao wanakutana  jumatatu ya leo .
  • Oldham Athletic or Everton v Wigan Athletic
  • Millwall v Blackburn Rovers
  • Manchester City v Barnsley
  • Manchester United or Reading v Middlesbrough or Chelsea

No comments:

Post a Comment