18 February 2013

KOCHA WA SIMBA APATA ULAJI BUFFALOES YA ZAMBIA


 


Aliye kuwa Kocha simba Patrick Phiri amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa wa timu ya soka daraja la kwanza Nchini humo Green Buffaloes.
kocha huyo wa zamani wa zambia anaziba nafasi ya  George Chikokola ambaye alikufa mwezi uliopita kwa maradhi
Phiri anarejea kiwanjani baada ya miezi mitano alipofukuzwa kazi na timu ya Napsa Stars.
Pia aliwahi kuifundisha Simba ya tanzania na Nkana ya Zambia .

No comments:

Post a Comment