28 February 2013

KOMBE LA DUNIA 2014 LABADILISHWA KUPEWA NCHI NYINGINE: FIFA


 http://www.totalprosports.com/wp-content/uploads/2010/07/world-cup-trophy.jpg


Kutokana na kushindwa kumalizika baadhidi ya viwanja shirikisho la soka duniani   FIFA, na kukubaliana na chama cha soka cha Costa Rica , kuwa hakina njia nyingine  zaidi kutafuta nchi nyingine ya kuandaa kombe la dunia la wanawake chini ya miaka  17 .
shirikisho hilo  limelazimika kukiomba radhi chama cha soka cha Costa rica kwa jitihada zote walizo onyesha
na sasa wanatafuta Nchi nyingine itakayo weza kuandaa fainali hizo za mwakani haraka iwezekanavyo ambapo agizo hilo litatolewa katika kikao kitakachokaa tarehe 20-21 march 2013 Huko Zurich

No comments:

Post a Comment