15 February 2013

NGUMI JAMANI BALAA TUPU AFRIKA MAGHARIBI


 http://images.supersport.com/Hans-vander-Pluijm-120701-WithGladsonAwako-BPP-300.jpg

 Makocha wawili wa Berekum Chelsea Hans Van der Pluijm na  Yusif Abubakar wamehusishwa katika vurugu zilitokea wakati wa mazozei,
  baadhi ya vyombo vya habari afrika magharibi vimeripoti .
 
Kulitokea kutokuelewana kati ya wawili hao na kurushiana maneno ya na kushikana mashati katika shule ya mazozezi  ya Berekum.

Timu hii imekuwa katika hali ya kuto kukaa sawa tangu kuchaguliwa  Pluijm ambaye alikuwa Mkurugenzi wa ufundi na sasa ameteuliwa kuwa kocha mkuu na huku .
Abubakar akimtuhumu mholanzi huyo kumdhalilisha  
.
Hali hii ya kutoelewana haiipi nafasi nzuri klabu hiyo ambayo ipo alama tano nyuma ya Viongozi wa ligi ya Ghana  Medeama SC.

No comments:

Post a Comment