15 February 2013

TMS ILIKUWA BUSY ZAIDI MWEZI JANUARY KULIKO MIEZI MINGINE

TMS activity in January 2013 

Klabu Nyingi Duniani zilikuwa  bize zaidi mwezi Mosi mwaka huu katika soko la uhamisho wa wachezaji kimataifa katika mwaka huu  2013 Hasa kuanzia Tarehe 1 to 31 January 2013, ambapo jumla ya wachezaji  1,748 walihamishwa  (Huku wakifuata utaratibu kwa usahihi ) FIFA imekiri  kutambua vilabu  145 vilitumia utaratibu kwa lugha ya kitaalamu( Transfer Matching System.) ambapo klabu nyingi zilikuwa busy wakati huo 

Japokuwa baadhi ya vyama vya soka vilikuwa vikikamalisha usaili wao mwezi wa pili hadi wa tatu  lakini bado mwezi january umeoneka kuwa busy zaidi kulinganisha na miezi mingine .
na jumla ya dola za kimarekani zilitumika kulipia shughuri hiyo  $ 417m. 

Asilimia 61 zilikamilishwa kwa kutumia  TMS ambapo walisaini klabu mpya . Asilimia 11 wachezaji waliingia mikataba na klabu zao kwa muda mrefu zaidi  .wakati asilimia  28 walingiia mikataba ya kwa mkopo .

No comments:

Post a Comment