21 February 2013

WAGHANA WAIUA BARCELONA GIUSEPE MEAZA

 Kevin-Prince Boateng

Kevin-Prince Boateng Na  Sulley Muntari ambao waliwahi kucheza portmouth ya uingereza wameifungia   AC Milan magoli mawili na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuifunga miamba ya usipania bao mawili sifuri 

Rossoneri walikuwa wakizua kwa kujipanga kwa umakini zaidi huku wachezaji wa wazamani wa Portsmouth wakifunga goli kila mmoja .

Boateng alifunga goli malidadi baada   Riccardo Montolivo's kupiga pigo la moja kwa moja na kubabatiza mchezaji mwezie lakini dakika tisa baadae Muntari's alifunga goli kwa shuti ndani kisanduku cha pernaty  (volley ).
Barcelona wanapata kipigo cha tatu msimu huu katika ligi ya mabingwa ulaya . 
 AC Milan v Barcelona
 MILAN 2-0BARCELONA

 Galatasaray's Burak Yilmaz (c) scores past by Schalke 04's goalkeeper Timo Hildebrand

Schalke imepata bahati ya kupata goli la ugenini dhidi ya  Galatasaray katika mechi ya kwanza ya mzunguko wa kumi na sita bora  .
WaTurkish  waliapata goli la mapema kupitia kwa  Burak Yilmaz, alitumia nguvu kumfunga Timo Hildebrand ndani ya eneo la hatari .
lakini kabla ya mapumziko vijana wanaocheza  Bundesliga walisawazisha kupitia kwa  Jermaine Jones baada ya kuzua shambulizi na kuanzisha shambulizi la haraka yaani  counter-attack.

No comments:

Post a Comment