6 March 2013

AFRICAN LYON YAZINDI KUVAA SANDA LIGI YA VODACOM YACHAPWA NA RUVU SHOOTING CHAMAZI !

http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2012/11/Vodacom-Premier-League.jpg 
Ligi kuu ya soka ya premier ya Tanzania imeendelea leo kwa mechi tatu .

Mgambo shooting imekung'utwa  na mtibwa sugar katika uwanja wa mkwakwani kwa bao moja sifuri goli lililofungwa na Salvatory Ntebe katika dakika ya tisini , African lyon imeendelea kuchungulia kaburi baada ya kufungwa bao moja sifuri dhidi ya Ruvu shooting 

JKT oljoro imeibamiza wafungwa wa mbeya yaani Prison Goli moja kwa sifuri

No comments:

Post a Comment