26 March 2013

BABA WA AKINA GARY NA PHIL NEVILLE AKAMATWA KWA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

 

Baba wa wachezaji wa soka wa kimataifa wa uingereza  Gary na  Phil Neville amekamatwa na maafisa askari  wa jiji la Manchester (GMP)  .

  Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maafisa askari  wanachunguza makosa yanayomkabili mzee huyo anayekabiliwa na unyanyasi wa kijinsia siku ya jumamosi Mzee huyo mwenye miaka 63 amenyimwa dhamana mpaka atakapo kamilisha baadhi ya Nyaraka.

No comments:

Post a Comment