18 March 2013

Kevin-Prince Boateng KUMTEMBELEA RAIS WA FIFA NYUMBANI KWAKE WIKI HII KUJADIRI UBAGUZI WA RANGI !


Kiungo wa klabu ya soka ya AC Milan’s na timu ya taifa ya   Ghana  Kevin-Prince Boateng atamtembelea Rais wa shirikilisho la kimataifa soka Duniani  FIFA  Joseph S. Blatter nyumbani kwake siku ya ijumaa   22 March 2013. 
Boateng, ambaye ni kiongozi wa la kundi la wachezaji linalopinga ubaguzi wa rangi , amealikwa na rais wa shirikisho nyumbani kwake  Zurich baada ya kuunda hilo , ilitangazwa na rais wa  FIFA mapema mwezi  March, ambapo sasa watafanya sherehe hiyo ambayo inaungwa mkono na umoja wa mataifa katika kitengo   kinachosimamia haki za binadamu katika kikao kitakachofanyika  saa 12.45 CET saa za ulaya na mashariki ya kati   , japokuwa haijathibitishwa rasmi ni muda gani hasa atakutana na blater hii inatoakana utoaji vitambulisho kwa waandishi wa habari na wapiga picha katika kutangaza tukio hilo 

No comments:

Post a Comment