21 March 2013

KIKWETE APEWA HESHIMA KUBWA AZAM !SIMBA NA YANGA MPOOO

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akitakata utepe kuzindua ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha soka cha azam complex chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam 



Rais wa Jamhuri ya muungano akisogeza kitambaa kuashiria kuthaminiwa kwake kwa kupewa heshima ya ufunguzi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Timu ya soka ya Azam fc .

No comments:

Post a Comment