11 March 2013

MGUU UNA THAMANI YA DOLAR MILIONI TANO ?

The foot that’s worth five million! 
Lionel Messi Akuigharimu chochote  Barcelona  – ukiacha pesa za  kulipia gharama za matatizo ya ukuaji kimo chake kwani alizaliwa na matatizo ya ukuaji  . Kijana huyo wa Argentina kwa sasa ni ghari zaidi na mbaya zaidi mguu wake unathamani zaidi huko japan !

  Naam watengeneza Vito wa Japanese  Ginza Tanaka wametengeza sanamu ya mguu wa kushoto wa Messi  ambao ni wa dhabau tupu    wenye kilo Gram  25-, ambao umekuwa ukiuzwa kwa gharama ya yen 500 za  Japan ,sawa na dola za kimarekani Mil  $5.25m!

No comments:

Post a Comment