HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 March 2013

TENGA :STARS BADO INABIDI IONGEZE BIDII !

 

Rais wa shirikilisho la soka la Tanzania TFF Leodgar chila amewapongeza wachezaji wa timu ya taifa kwa kufanya kazi kubwa leo baada ya kuwafunga timu ya taifa ya Moroco katika kuwania nafasi ya kucheza fainali za kombe la dunia.
 Aidha akaongeza kuwa akiwa kama mwalimu wa mpira wa miguu na kiongozi wa timu hiyo amewataka wachezaji kuto kubweteka na kuwaambia kuwa bado sana ushindi walio upata leo aina maana ya kuwa wao ni bora bali wanatakiwa kuongeza juhudi hasa katika mazoezi lakini amewapongeza wapenzi wa mpira kwa kuja kiwanjani kuisadia timu yao kwani imecheza soka safi na kuwaasa kuwa bado wanahitaji kufanya kazi ya ziada hasa katika mechi zilizo baki Tenga amezungumza hayo kwa njia ya simu na moja ya kituo cha radio jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers