14 March 2013

UISPANIA YASHEHREKEA MIAKA YA KUMI YAINGIZA TIMU TATU ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA


 Roque Santa Cruz scores


Roque Santa Cruz Amefunga kwa mpira wa kwanza kuugusa (First touch ) dhidi ya Porto na kuisaidia Malaga kufuzu hatua ya Robo fainali ambao mechi ya kwanza walifungwa goli moja sifuri   waispaniola walienda sawa baada ya Isco curled kufunga goli la  ufunguzi katika kisanduku kabla ya nusu ya kwanza kumalizika .

Mchezaji wa Porto' Steven Defour alipewa kadi ya pili ya katika dakika ya 50th baada ya kumfanyia faulo winga wa malaga  Joaquin.
Akitokea kwenye Benchi  Santa Cruz, ambaye anatoka  Manchester City kwa mkopo , alifunga goli katika dakika ya 78 kwa kichwa hakiunganisha kona ya  Isco's .
  huku raia huyo wa Paraguay akionyesha uwezo wa hari ya juu na kuonyesha thamani yake baada ya kununuliwa   £18m mwaka  2009 na Man city , lakini alikuwa mchezaji mwenzake Isco, ambaye alikuwa nyota wa Mchezo  .

No comments:

Post a Comment