9 March 2013

YANGA YAUKALIBIA UBINGWA ,POLISI MORO NA AZAM ZASHINDWA KUTAMBIANA

SUFIANI MAFOTO PICTURE


Klabu ya soka yanga ya jijini Dar es salaam imeibamiza toto afrikan ya mwanza na kufikisha alama 45 alama saba zaidi juu ya azam afc ambayo imetoka suluhu ya goli moja kwa moja dhidi ya polisi moro katika uwanja wa chamazi 
Yanga ilipata bao lake kupitia kwa Nizar Khalfan aliyeingia kuchukua nafasi ya Jerry Tegete,  katika dakika ya 78.
 
Katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu Azam imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Moro, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Chamazi Mbagala jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo sasa Yanga imefikisha jumla ya Pointi 45 na Azam iliyo katika nafasi ya pili wakiwa na Pointi 37.
Aidha David mwantike wa Azam alilimwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi moro 
  .

No comments:

Post a Comment