15 May 2013

Aaahh " LOIC REMY AKAMATWA KWA KOSA KUBAKA !


Loic Remy, QPR striker 

 Loic Remy na wenzake wawili wamekamatwa kwa kosa la ubakaji na wanashikiliwa kwa mahoajiano zaidi siku ya jumatatu mshambuliaji huyo  Queens Park Rangers amekamatwa kwa makosa ya  ubakaji .mshambuliaji huyo mwenye miaka 26-ambaye pia ni mchezaji wa kimataifa wa ufaransa anashikiliwa na askari wa uchunguzi wa  Scotland Yard's wa kitengo cha makosa ya ubakaji akiwa pamoja na vijana wenzake wawili ambao walikamatwa huko Fulham, Magharibi mwa London .

Wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi baada ya kumuingilia mwanamama mwenye miaka  34 ambaye alibakwa na vijana watatu  siku ya jumatatu .
mashitaka hayo yalipitiwa na  Met kutoka Askari wa  Kent  jumatatu iliyopita.
Msemaji wa  Metropolitan Polisi amesema : "watu watatu wenye umri kati, miaka  26, 23 na 22, walikamtwa  katika kitongoji cha  Fulham kwa makosa ya ubakaji.
"na bado watabakia katika kituo cha polisi hapa  London ."

No comments:

Post a Comment