30 May 2013

ASKOFU AIOMBEA STARS ISHINDE MARAKESH

 


Katika hari usiyoitegemea Taasisi ijulikanayo kwa jina la  Habari njema imewaomba watanzania wote kusimama na kuiombea nchi yao katika mchezo wa kufuzu za kombe la dunia dhidi ya Morocco utakao chezwa  Marrakech.
Mwenyekiti wa wa Taasisi hiyo  Askofu  Charles Gadi amesema katika mkutano na waandishi wa habari jijini  Dar es Salaam, japokuwa Taifa star ipo katika nafasi mbaya kwenye viwango vya Fifa  amesema maombi na kujituma kutaisaidia timu hiyo katika viwango vya fifa
”Wachezaji watanzania wanatakiwa kuongeza morali amesema kiongozi huyo wa kidini .

Ameongeza kuwa maombi yataisadia kuleta ushindi kujiamini katika  mazoezi wanayofanya pale  Addis stadium  katika kujiandaa na mechi ya kirafiki .

“Maombi ya nchi nzima yatawezesha tanzania kufanikiwa kushinda  tikiti ya kombe la dunia kwanza mara  tangu kombe hilo lianzishwe .

“lakini akaitaka serikali na wadau kuwekeza inavyotakiwa katika soka ilikifikia viwango vya timu kubwa kama spain na brazil .

No comments:

Post a Comment