.

GOAL- Aston Villa 1-0 Chelsea - Christian Benteke (14 mins)Umekuwa msimu mzuri kwa Raia huyu wa Belgian! Anaipatia Aston Villa goli la kuongoza hakuna cha kusahangaza . Christian Benteke anafunga goli akipitisha mpira chini nahodha JT na Mlinda Mlinda Mlango Czech kazi kwa Brad Guzan, Yacouba Sylla waliomchezesha
Benteke, na ameshinda Gary Cahill kabla hajaingiza mpira wavuni .
Aston Villa 1-0 Chelsea
Aston Villa 1-1 Chelsea

GOAL - Aston Villa 1-1 Chelsea - Frank Lampard (61 DK)
Woow I Chelsea ilichokozwa na sasa! Frank Lampard anafunga goli tena la 202nd kwa Chelsea, akipokea pasi kutoka kwa Hazard,akiuzungusha mpira kwa mguu wa kushoto mita 15 .
Ni jambo zuri kwa Chelsea sasa
Aston Villa 1-0 Chelsea
Kijana wa kibelgiji na asisli ya kongo akishangilia goli .

Aston Villa 1-1 Chelsea

GOAL - Aston Villa 1-1 Chelsea - Frank Lampard (61 DK)
Woow I Chelsea ilichokozwa na sasa! Frank Lampard anafunga goli tena la 202nd kwa Chelsea, akipokea pasi kutoka kwa Hazard,akiuzungusha mpira kwa mguu wa kushoto mita 15 .
Ni jambo zuri kwa Chelsea sasa

GOAL - Aston Villa 1-2 Chelsea - Frank Lampard (88 DK)
A huge moment!
Frank Lampard Anafunga goli la pili kuongeza bao lake la 203 kwa mtindo wa aina yake . waligongeana pasi nasi na Eden Hazard na kumpa nafasi ya kufunga Lampard ambaye anaoneka shujaa wa mchezo .
Frank Lampard Anafunga goli la pili kuongeza bao lake la 203 kwa mtindo wa aina yake . waligongeana pasi nasi na Eden Hazard na kumpa nafasi ya kufunga Lampard ambaye anaoneka shujaa wa mchezo .
Nafasi | Timu | P | GD | Points |
---|---|---|---|---|
| ||||
1 | Man Utd | 36 | 42 | 85 |
2 | Man City | 36 | 31 | 75 |
3 | Chelsea | 37 | 35 | 72 |
4 | Arsenal | 36 | 31 | 67 |

Naama anavaa jezi namba kumi na Tisa pale Aston Villa katika uwanja wa Villa Park ilipotimu dakika ya 19th -
Jezi hiyo ilikuwa inavaliwa na Nahodha Stiliyan Petrov. na alikuwepo kiwanjani kukweli lilikuwa tukio la aina yake .
klabu yake zamani ya Celtic ilifanya kama hivyo katika mechi yao dhidi ya St Johnstone leo
klabu yake zamani ya Celtic ilifanya kama hivyo katika mechi yao dhidi ya St Johnstone leo

No comments:
Post a Comment