HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 May 2013

GOTZE KUZIKOSA TIMU ZAKE FAINALI UEFA

Mario Gotze 

Kiungo  mchezeshaji wa timu ya soka ya  Borussia Dortmund Mario Gotze ameondolewa katika kikosi ambacho kitacheza mechi ya fainali ya klabu bingwa ya ulaya dhidi ya klabu yake ya sasa ya  Bayern Munich baada ya kuumia msuri .Gotze, 20, ajacheza tangu mwezi uliopita hasa kati mechi ya mkondo wa pili ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi ya   Real Madrid.
Gotze: " Fainali ndiyo ilikuwa lengo langu kucheza na nilijituma sana kuifikisha timu hii hapa -lakini natakiwa kukubali matokeo ya kutocheza fainali hiyo "Mwezi April, ilitangazwa kuwa Gotze atajiunga na Bayern Munich kwa ada ya yuro  £31.5m.
Aidha kwa kiasi hicho kitamfanya kuwa mchezaji ghari zaidi kutoka ujerumani kujiunga na the  Bavarian katika historia ya ujerumani itakapo fika 1 July.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani amesemwa kuwa thamani yake ni sawa na mchezaji bora mara nne wa dunia  Lionel Messi  na Nguli wa soka wa nchi hiyo  Franz Beckenbauer.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers