HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 May 2013

KAMA HUWEZI KUWAFUNGA JIUNGE NAO TU LEWANDOWSKI TAYARI YUPO BAYERN
'KWA HARI ILIVYO SASA,MAMBO YANAKARINIA KUFIKA TAMATI,' ANASEMA WAKALA WACHEZAJI HUYO.           
Pole Position: Rivals Bayern look set to pinch the Pole from Dortmund 
Reuters
Wakala wa mchezaji Robert Lewandowski's anasema kuwa anatarajia kuwa mshambuliaji wa  Borussia Dortmund anajiunga na  Bayern Munich hivi karibuni .
mshambuliaji huyu wa kimataifa wa Poland  amekuwa akiwindwa na mabingwa wa ulaya na anaonekana kuungana na mabingwa hao ,na kuachana na Dormund na ataungana na mchezaji mwenzake    Mario Gotze's ambaye   alinunuliwa kwa yuro 37 million
Kwa mujibu wa wakala wa  Lewandowski's  Cezary Kucharski, shughuli hiyo itakamalika kama klabu hizo zitakubalaiana kuuziana mchezaji huyo mwenye miaka 24 na tunaamini litakamlika .
"kwa sasa mambo yamekamilika kwa asilimia kubwa na tunasubili kusaini tu.
"Ni vilabu husika tu kukubaliana .Uhamisho utafanyika wiki moja au mbili zijazo  ."

Kucharski alilithibitisha hilo katika mahojiano na Runinga moja ya Poland's TVN 24 ambayo ilitangaza kuwa  Bayern inafanya makubaliano na Lewandowski  na anaondoka Dortmund.
"Natumaini watachukua nukuu ya mchezaji mwenyewe kuwa ana maisha mazuri pale alipo na yupo na kocha mzuri na kama itatokea klabu yoyote ikihitaji huduma zake yupo tayari kwenda .na angependa kuchezea klabu mpya "
 
Amefunga magoli  12 katika mechi kumi na mbili alizocheza msimu huu , na kutngeneza rekodi mpya ya kufunga magoli  24 katika mechi 31 za Bundesliga .
Amefunga mabao 54 katika mechi 98 . Westphalian club, klabu aliyotokea akijiunga na Lech Poznan mwaka  2010.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers