1 May 2013

KICHWA CHA Müller's CHAITIA KABURINI BARCA 7-0

Vilanova: We can't think about scoring, but about playing well 

Bayern imeweka rekodi kubwa zaidi kupata kutokea katika michuano ya UEFA Hasa katika hatua ya nusu fainali  baada ya kushinda mabao manne kwenye mechi ya kwanza  4-0 tangu iliposhinda dhidi Olympique Lyonnais. na wameweka rekodi nyingi baada ya kuikandamiza Barca kwa mabao matatu ndani nou camp na kusukuma nje kwa jumla ya mabao saba . Franck Ribéry alipitisha pasi ilio mpita  Alex Song na kumkuta Thomas Müller na kuwashinda akili  Marc Bartra ana  Adriano na kufunga kwa kichwa kilichomshinda   Víctor Valdés.

BAYERN MUNCHERN VS BORUSIA DORTMUND 
WEMBLEY STADIUM 

No comments:

Post a Comment