22 May 2013

MAN U YAPATA PIGO YAFIWA NA NYOTA WAKE MAHILI

Brian Greenhoff 

Mchezaji wa zamani wa  Manchester United na timu ya taifa ya uingereza   Brian Greenhoff amefariki ghafla akiwa na umri wa miaka sitini  60.
Greenhoff  ambaye alikuwa moja ya wachezaji ambao waliifunga  Liverpool 2-1 katika fainali ya kombe la FA mwaka  1977  ,kabla hajakwenda  Leeds United kwa uhamisho wa pauni  £350,000 mwaka  1979.
Kiujumla amecheza mechi  271 akiwa   Old Trafford , na kufunga magoli  17 , na kucheza mechi  18 akiwa na uingereza .
alizaliwa huko  Barnsley, Greenhoff, aliichezea united miaka sita na baadae kuifundisha Rochdale.

No comments:

Post a Comment