HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 May 2013

MWAMUZI ALIYEBORONGA CAN 2013 KUCHEZESHA TANZANIA VS MOROCCO

 
Raia wa afrika kusini , Daniel Frazer Bennett amechaguliwa kuchezesha mechi ya kufuzu fainali za kombe la dunia  2014 kati ya  Morocco na Tanzania mchezo utakao chezwa  June 8 huko Marrakech.
Mwamuzi huyu ndiye aliyekumbwa na shutuma nyingi wakati wa fainali za kombe la mataifa ya afrika  2013 lililo fanyika Africa kusini atakuwa akisaidiwa na  Zakhele Thusi Siwela na MKenya’ Marwa Range. Morocco ni ya tatu katika kundi C ikiwa na alama mbili wakati Tanzania ina alama sita katika nafasi ya pili  wakati ya kwanza ni Cote d’ Ivoire (7 pts) huku  Gambia ina (1 pt)ikishika mkia  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers