HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 June 2013

ARSENAL IMESHAKUBALIANA MAKUBALIANO YA KABLA NA DAVID VILLA


Villa Arsenal Pre Contract

Taarifa kutoka uispania zinasema kuwa Klabu ya arsenal imeshafanya makubaliano ya awali na mchezaji wa kimataifa wa uispani na
Barcelona  David Villa  mtandao wa  talkSPORT.umethibitisha hilo
Mchezaji huyo mwenye miaka 31 amehusishwa sana na kujiunga na vijana wa  Arsene Wenger habari zilianza kutoka tangu mwezi january lakini wakati huu wa kiangazi naona zimeanza kutimia .
Mwandishi wa habari wa kihispania 
 Axel Torres amesema kuwa imeshathibitishwa  na vyanzo vikuu kuwa mshambuliaji huyo wa Barcelona  David Villa anataka kuamia ligi kuu ya uingereza  , mchezaji huyo wa kimataifa wa uispania anoneakana kutaka kuondoka kumeripotiwa kuwa klabu ya Arsenal imeshatiliana saini na mchezaji huyo kama anataka kuondoka .

Wenger anaona  Villa ni moja kati ya washambuliaji ambao wanaweza kushirikiana na mshambuliaji ambaye anamwamini  Olivier Giroud na  Lukas Podolski ambao anaamini kuwa ni wachezaji wawili ambao wanaweza kushirikiana kwapa moja kuongeza moto katika kikosi cha washika bunduki hao wa kaskazini mwa london.
David Villa amecheza mechi  17  za La Liga , na akifunga magoli kumi .
na huku kukioneka kuwa ujio wa Neymar unaweza kuwa mwendo mbaya kwake na uenda asipangwe katika kikosi cha kwanza,  wakati kombe la dunia likiwa karibuni

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers