5 June 2013

DAVID MOYES KUMUAMISHA Leighton Baines Everton KWA PUANI MIL 10


 


Kocha mpya wa Manchester United  David Moyes ameanza kazi ya kuhamisha wachezaji aliwazoea akianza na beki wa  Everton Leighton Baines.kwa mujibu wa gazeti la ki siku la
 Express s United wapo tayari kutoa  kitita cha pauni  £10 kwa ajiri ya kumng;oa mchezaji huyo wa  Everton .
  lakini gharama hiyo inaweza kufika hadi pauni mil 15 kwani vijana hao wa Merseyside wanaweza kuongeza gharama ya mchezaji huyo na kuwa kubwa zaidi kwani ni  Moyes huyo huyo aliyemtoa mchezaji huyo wigan na kumpeleka Goodison kwa pauni Mil  £6m mwaka  2007.

No comments:

Post a Comment