2 June 2013

FRANSI BARAZA KOCHA WA WESTERN STIMA YA KENYA KUTIKMIA USKOCH KESHO ALFAJIRI


 

Kocha wa timu ya soka ya Kenya ya  Western Stima anakwea pia kesho kuelekea Umoja wa nchi za kifalme kwa mafunzo ya miezi miwili .
kocha msaidizi wa timu hiyo  Hesborn Nyabinge ataifundisha timu hiyo mpaka pale atakaporejea na atasaidiwa na kocha mchezaji wa siku nyingi wa timu hiyo  Ramadhan Balala.
Mwenyekiti wa timu hiyo  Laban Jobita amethibitsha kuwa timu yao itafanya vizuri bila mkufunzi huyo kuwepo kiwanjani .

‘Kwa sisi ni jambo ambalo linatupunnguzia  makali katika mzunguko wa ligi ,Lakini ninaamini kuwa   tutafanya vizuri mpaka atakaporejea baada ya miezi  miwili

 na akirejea atakuwa amejifunza ya kutosha na tutafaidika nayo akiwa huko atajifunza kozi inayotambulika na  UEFA Pro level ‘C’ .


No comments:

Post a Comment