HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 June 2013

MOURNHO KUTANGAZWA WIKI HII KAMA MKUFUNZI MKUU WA CHELSEA

Jose Mourinho 

Jose Mourinho Jana mchana alitua katika kiwanja cha ndege cha Heathrow na kuthibitisha kuwa anakwenda kuingozoa chelsea msimu unao kuja  .

Kocha huyo maarfu kama kama  Special One alikanyaga katika uwanja ndege wa kimataifa wa  Heathrow na kuanza kupigwa picha. dakika chache mara baada ya kutua kiwanjani hapo na picha hizo kuanza kuzagaa katika mitandao ya kijamii hasa Twiter  ,huku mashabiki wa  Chelsea wakimkalibisha Jose Nyumabni.

Aliiambia runinga moja ya kihispaniola : ‘Mwishoni mwa msimu huu nitakuwa kocha wa chelsea .Najiskia furaha  kuwa watu wananipenda na katika maisha unatakiwa kulitazama hilo. Maisha ni matamu na mafupii  na unatakiwa kutazama kipi kizuri kwako.’
Welcome back: Jose Mourinho arrived at Heathrow on Sunday ahead of completing his return to Chelsea
Welcome back: Jose Mourinho akiwa katika uwanja wa ndege wa  Heathrow jana jumapili  Sunday akiwa tayari kurejea katika timu yake ya  Chelsea

Jose MourinhoMreno huyu anatarajiwa kutambulishwa saa ,  48 zijazo , aliwasili mara baada ya masaa kadhaa ya mechi ya  Real Madrid kumalizika.

MOURINHO'S CHELSEA ROLL OF HONOUR 2004-2007

Premier League (2): 2004-05, 2005-06
FA Cup (1): 2006-07
Football League Cup (2): 2004-05, 2006-07
FA Community Shield (1): 2005
Rais wa Madrid  Florentino Perez  aliimbia kituo cha cha ruinga cha   Sky Sports kijana huyo mwenye miaka the  50-atarejea chelsea  wakati wa kiangazi .

Perez, ambaye jana alichaguliwa kuwa Rais wa Real bila kupingwa  , alipokuwa akihojiwa na Ruinga ya  ABC: ‘Mlango haujafungwa kwa  Mourinho. anaondoka  .’
Mourinho’s na anakwenda  Chelsea na huu ni uhamisho ambao haukutarajiwa wakati wa kiangazi ,lakini tovuti ya   Premier League walikana kuwa walichapisha habari iliyosema : ‘Portuguese coach is back at Stamford Bridge after signing a xx-year contract.’
Mreno huyo anarudi kuifundisha na amesaini kandarasi ya miaka xxx.
Cat out of the bag: Real Madrid president Perez confirmed that Mourinho is returning to Chelsea
Goodbye: Mourinho ended his three-year reign at Real Madrid with a 4-2 win over Osasuna
Goodbye: Mourinho ended his three-year reign at Real Madrid with a 4-2 win over Osasuna
 Mourinho ameshinda mataji kadhaa ya ligi ya uispania matatu kati ya hao ameshinda katika wakati ambao real ilihitaji kikombe hicho pale  Real Madrid, lakini  mahusiano yake na klabu hiyo yamekuwa yakisua sua msimu huu .
Stare: Cristiano Ronaldo was left out of the final match of the season by Mourinho with a back injury
Kushindwa kwake kuchukua klabu bingwa ya ulaya msimu huu limekuwa tatizo kubwa japokuwa alikuwa na wachezaji ambao walikidhi viwango vya kuchezea real madrid  .
Msimu huu wamemaliza alama 15 nyuma mabingwa   Barcelona katika msimu wa ligi msimu huu ..

Cheers and jeers: Mourinho was greeted with a mixed reaction during Real Madrid's match against Osasuna
Glory days: Mourinho won the Premier League two seasons in a row during his first spell in charge at Chelsea

Silverware: Mourinho led Chelsea to victory in the FA Cup final in 2007 but left just four months later

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers