19 June 2013

PAPA FRANCIS AVUTIWA NA KIJANA ALIYEVAA JEZI NA 10 YA ARGENTINA AMBAYE NI MGONJWA AKIRI AMWACHIA KITI AJINAFASI

Vatican Pope
Pope Francis Akimfurahia  Alberto di Tullio, kutoka Boiano, nje ya Naples, Italy,akiwa amekaa katika gari ya papa mwishoni mwa juma wakati wa mkutano na waumini wa kanisa hilo  St. Peter's Square  Vatican, Leo jumatano 19, 2013. 

Francis alimpatia nafasi kijana huyo  mwenye miaka  17-papa alimwalika   Alberto di Tullio katika gari lake la wazi aina ya Mercedes baada ya kumaliza mkutano huo na kumwacha ajinafasi katika gari hilo tukio lilotazamwa na  maelfu ya watu ndani ya Basilika
ALESSANDRA TARANTINO — AP Photo 


Read more here: http://www.sanluisobispo.com/2013/06/19/2552405/pope-invites-down-syndrome-teen.html#storylink=cpy



Read more here: http://www.sanluisobispo.com/2013/06/19/2552405/pope-invites-down-syndrome-teen.html#storylink=cpy

No comments:

Post a Comment