9 June 2013

TANZANIA YAFUNGWA NA MOROCO MBILI MOJA TAZAMA VIDEO HAPA

 
Timu ya soka ya taifa ya tanzania leo imeshindwa kufanya lile ambalo watanzania walikuwa wakilitegemea baada ya kukubali kipigo cha magoli mawili kwa moja katika jiji la marakesh katika mchezo wa marejeano kufuzu michuano ya kombe la Dunia Nchini Brazil  Morocco 2 – Tanzania 1Moroco walipata goli la kwanza kwa 
mkwaju wa penalty uliopigwa na  Abderrazak Hamedallah na kuwafanya waende mapumziko wakiwa wanaongoza kwa goli kwa sifuri . Youssef El-Arabi alifunga goli la pili  na kuipa uhai tuimu ya taifa ya Morocco’s kabla ya   Amri Kiemba kupiga shuti la mita thelathini lililomshinda mlinda mlango wa Moroco kwa upande wa Tanzania Agrey Moris alilimwa kadi nyekundu iliyosababisha kwa mkwaju huo wa pernaty 

No comments:

Post a Comment