7 June 2013

TENGA AKIRI KAZI IPO MASHINDANO YA CECAFA MSIKILIZE ALICHOONGEA



 
Mwenyekiti wa baraza la vyama vya soka afrika mashariki na kati CECAFA Leodgar Chila Tenga  amesema kuwa wanasubiri kauli ya serikali ya Jamhuri ya muungano kuhusu kupeleka timu katika mashindano ya kombe la kagame yanayotarajiwa kuanza katika ya mwezi huu.
Amesema kuwa hata yeye anaskia tu kuhusu baadhi ya timu kujitoa katika mashindano hayo  amezungumza hayo leo katika ofisi za shikisho la soka la Tanzania Tff mpenzi msomaji wa DUNIA YA MICHEZO tunakupa fursa ya kusikiliza mahoajiano yake na waandishi wa habari aliyoyafanya Mwenyekiti wa CECAFA Leodgar Chila Tenga

SIKIZA HAPA

No comments:

Post a Comment