26 July 2013

MOURINHO AANZA KUMCHEZEA AKILI WENGER KUHUSU SUAREZ

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea  Jose Mourinho ameishangaa klabu ya Arsenal's kuataka kumsanisha mshabuliaji wa Liverpool  Luis Suarez.
Suarez, 26,hana furaha na anataka kuondoka   Anfield.
Mourinho anasema kuwa : "Sina uelewa wowote kuhusu kinachoendelea na hali  halisi  kuhusu Luis Suarez. 
" Lakini kama  Arsenal inauchumi huo na kocha kaamua kusainisha mchezaji haina shida litakuwa jambo zuri kwao ,Sio jambo la kawaida kutangaza offa kubwa kama hiyo.
"Sina uelewa jambo hili litakwendaje ."

No comments:

Post a Comment