HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 August 2013

AUGUST 26 LAZIMA ROONEY AVAE JEZI YA CHELSEA OT TRAFORD


Chelsea imeweka siku ya mwisho ya kumsainisha mashambuliaji wa  Manchester United  Wayne Rooney.
Gazeti la  Daily Express limenukuliwa kuwa  Blues inataka kukamilisha usajiri huo kabla August 26. 

Kocha wa Chelsea  Jose Mourinho anamtaka Rooney Chelsea wakati timu hiyo itakapokwenda kucheza  Old Trafford dhidi ya Manchester United katika mechi ya mwanzo wa msimu .

Chelsea ilikwisha tuma  offa mbili kwa ajiri ya mchezo huo na Tayari zimekataliwa  offa ya sasa watapeleka pauni  £28million ili kuweza kukamilisha sakata hilo wiki hii .
.
United bado inaonekana kutokukubaliana na matakwa ya Chelsea lakini inashawishika kwa sababu Rooney anaonekana kutaka kuondoka .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers