HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 August 2013

CITY YAUA TATU MBILI NDANI YA WALES


Fraizer Campbell Amepeleka Furaha ndani ya klabu ya Cardiff na kuifanya Timu hiyo kupata ushindi wa kwanza wa Ligi ya Ptremier ya Uingereza Baada ya kuwafunga mabingwa wa zamani wa uingereza Manchester City.

Edin Dzeko alionekana kutingisha kibiriti baada ya kufunga goli lilomfanya kocha wa City  Manuel Pellegrini's aone kama Alama tatu muhimu ziko upande wake kwani zilikiuwa dakika chache tu baada ya kipindi cha pili kuanza lakini  Cardiff walirudi Mchezoni Baada ya  Aron Gunnarsson kufunga goli kwa shuti kali , Na baadae  Campbell Kufunga bao mawili na kuifanya Cardiff City kuibuka kidedea katika uwanja wa Nyumbani  .
Unlikely victory: Frazier Campbell scored twice in Cardiff's shock win over title contenders Manchester City

Match facts

Cardiff City: Marshall 6; Connolly 6, Caulker 7, Turner 7, Taylor 6; Bellamy 6 (Cowie,83mins), Gunnarsson 7, Kim 7 (Mutch, 90mins), Medel 7, Whittingham 6; Campbell 8 (Cornelius, 90mins)
Subs not used: Lewis, Hudson, Noone, Maynard
Goals: Gunnarsson 60, Campbell 79, 87
Manchester City: Hart 7; Zabaleta 4, Garcia 4, Lescott 5, Clichy 6; Navas 6 (Nasri, 55mins 5), Fernandinho 6 (Milner, 77mins 5), Toure 6, Silva 7; Aguero 6, Dzeko 7 (Negredo, 69mins 6)
Subs not used: Pantilimon, Kolarov, Nastasic,  Rodwell
Goals: Dzeko 52, Negredo 90
Ref: Lee Probert
Att: 27, 068
*
Alvaro Negredo aliifungia City katika muda wa Nyongeza , Lakini halikusaidia kwa muda ulikuwa Umekwisha kwenda Magharibi.
Wachache sana waliwapa nafasi ya ushindi mabingwa wa ligi Daraja la kwanza ushindi huku wakipambana na timu iliyotoka kuing'uta Newcastle bao nnee sifuri .

Lakini Vijana wa  Malky Mackay's walionyesha uwezo wa hari ya juu , paka filimbi ya mwisho inapulizwa, Mashabiki wa United waliovaria Rangi tofauti na za kupendeza walioshangilia kwa ustadi huku wakiiga ushangilia wa Man City .
Kwa Pellegrini, ni fundisho na kumbusho  kwake kuwa haitakuwa kazi rahisi kwake , Baada ya kuonyesha mchezo  Mmbovu na City haijashinda katika mechi zake tatu ilizocheza kusini mwa Wales.

Superb strike: Edin Dzeko's goal came on the back of Manuel Pellegrini demanding he score more goals


Negredo goal

 Midfield battle: Cardiff's Gary Medel vies for possession with City's Fernandinho
Wapi Fernandinho
Despair: City defender poorly for Aron Gunnarsson's equaliser
 Aron Gunnarsson's anasawazisha Goli
Frustration: Sergio Aguero can see victory slipping out of City's graspKichwa kinauma
Hero: Fraizer Campbell's goals could prove vital all season for the newly-promoted side
Woooooooooooow

Pressure: Alvaro Negredo's late goal gave City a lifeline and ensured a nervy finishTime to celebrate: Cardiff fans do the Poznan to mark Campbell's goal
Hoi bin Twabaan
Despair: Alvaro Negredo knows City are running out of time to equalise
Na bado
Unconvincing: Joe Hart again struggled, suggesting his form is yet to recoverUnited hero? Campbell came through the youth ranks at Old Trafford
Kijana huyu alilelewa Katika klabu ya Manchester United

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers